VIGEZO VYA YOUTUBE NA SERA ZAO

      JINSI YA KUTENGENEZA PESA NYIGI

                               YOUTUBE. 

Kwanza kabla hujanza inabidi ujiulize Maswali yafuatayo :- 

1.Je ni vigezo gani napaswa kuwa navyo ili kulipwa na youtube? 

2.Ni kwa Muda gani naweza kuanza kulipwa na Youtube? 

3.Napataje Malipo yangu? N.k 


 VIGEZO VYA KUWA NAVYO ILI ULIPWE                              NA YOUTUBE. 

Ili kuanza kulipwa na Youtube inakupasa kufikisha vigezo vifuatavyo vikuu vitatu kabla ya kujua ni kwa jinsi gani Youtube wata kutumia pesa zako kwa njia gani. 

1.Hakikisha una subscriber 1000. 

2.Hakikisha umefikisha watch hour 4000. 

3.Hakikisha video ulizoweka umeziunda mwenyewe.(Hazina Copyright claim) 

NOTE;Watch hour 4000inakupasakuzifikisha ndani ya Mwaka Mmoja Yaani miezi 12. 


Swali 

Je? baada ya miezi 12 kama sijafikisha watch hour nini kitatokea? 

Baada ya miezi kumi na mbili (12) kamahujafikisha watch hour 4000 zitachukuliwa na utapewa miezi 12 mingine na utaanza 1. 

            

                   SUBSCRIBER 1000

Hiki ni kigezo cha Kwanza nan i muhimu kwani youtube wanahitaji kushuhudia ukuaji wa channel yako hivyo wafuasi hai ndio wanaweza wakakupa nafasi ya kuingia kwenye mfumo wa malipo ya youtube.

             

                   WATCH HOUR

Hakikisha wafuasi wako wametazama video zako kwa Dk 240000 ambazo ni sawa na masaa 4000 katika video za channel yako kwa ujumla.Hivyo unashauliwa kuapload video ndefu zenye maudhui ya kuvutia ili kupata hizo watch hour.

                    VIDEO. Original 

Hakikisha video unazoweka ni zako kwani ukipata copyright claim mara tatu channel yako inaweza kufutwa kabisa hivyo ilikuepuka usumbufu tengeneza video zako mwenyewe.


 JE YOUTUBE WANALIPA KWA NJIA GANI?

Youtube wanalipa kulingana na idadi ya watazamaji wa video zako na muda wanaotumia kuangalia video zako.Ili uweze kutengeneza kipato kizuri inakupasa utengeneze videoza kuvutia ambazo zitamvutia mtazamaji pia za kutazamika dunian kote sioTanzania pekee wala Kenya pekee n.k.


              JE NAPATAJE PESA ZANGU?

Ili uweze kupata pesa kutoka Youtube inakupasa uwe na ADSENSE ACCOUNT ambayo ndiyo njia hutumiwa na Youtube kulipa pia inakupasa uwe umetengenez kipato kuanzia dola 100 Ambayo ni sawa na Tsh 234086.50 ambapo pesa inatumwa kwa Cheque au moja kwa moja kupitia Benk Kama NMB,CRDB,EQUITY BANK N.K

Kama unaswali lolote uliza hapo sehemu ya Comment utajibiwa kwa wakati.


Pia Kama huyoajali Subscribe to our Youtube Channel 

                    SUBSCRIBE HERE


  https://youtube.com/@onlinemedia1896

  https://youtube.com/@onlinemedia1896


Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url