JINSI YA KUKOKOTOA GPA YA CHUO.

        JINSI YA KUKOTOA GPA YA CHUO.

Wanachuo wengi hususani Mwaka WA Kwanza. Wanapata changamoto katika KUKOKOTOA GPA zao.Hivyo fuatilia Blog yetu hii uweze kujifunza KUKOKOTOA GPA yako.
Grading system ya Chuo inajikita katika madaraja yafuatayo;-
     A: 70-100
     B+:60-69
     B : 50-59
     C : 40-49
     D : 35-39
     F :  0-34


GPA inakokotolewa baada ya Course work na Mtihani wa Mwisho ya University examination Kufanyika. Na point zake ni kama ifuatavyo:-
   
    A  =5
    B+=4
    B  =3
    C. =2
    D. =1
    F = 0

Daraja la ufaulu Kwa Kila kozi lazima uanzie Daraja C na sivinginevyo.
Na Gpa Hutolewa Kwa Madaraja ambapo yapo madaraja matatu kama ifuatavyo;-
       1.Daraja la Kwanza
       2.Daraja la pili
       3.Daraja la mwisho/lower class/Tatu
    

Na point zake huwa kama ifuatavyo:-
   1.The upper class 4.4 -5.0
   2.The upper second class  3.5 - 4.3
   3.The lower second  class 2.7 - 3.4
   4. Pass 2.0 - 2.6
Hivyo mwanafunzi yeyote yule atakaye shindwa kufikisha marks zinazotakiwa atapaswa kufanya mtihani wa Supplementary Ili kusapua Ili KUENDELEA na chuo na atakaposhindwa kusapua atacarry course na kuisoma Mwaka unaofuata na Mwaka WA Kwanza.

 Pia Cha MSINGI course ambayo itakuwa supplemented itakuwa graded Grade  C not otherwise.


Please fuatilia Blog yetu Kwa mafunzo zaidi Pia uliza swali Kama unalo hapo sehemu ya comment.

Pia angalia Raisi WA CHUO Cha UDSM alivyoto PONGEZI Kwa Mh.Rais Samia Suluhu  Bila KUSAHAU Kusubscribe.



Please SUBSCRIBE OUR YOUTUBE CHANNEL FOR MORE INFORMATION 


Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url