SEMANTIKI NA PRAGMATIKI

                       HAND OUT 

       SEMANTIKI NA PRAGMATIKI.

Semantiki;ni tawi linalojishighulisha na uchunguzi wa maana katika lugha ya mwanadamu.Huanza kuchunguza katika kiwango cha sauti,Mofimu,Neno hadi tungo.

            MALENGO YA SEMANTIKI

1.Hushughulika na mpangilio wa sauti unaoleta maana katika neno.

2.Hushughulika na uainishaji wa maana za  maneno.

3.Hushughulika na maana za tungo.

4.Hushughulika na taratibu zote za kuchambua maana.

5.Hushughulika na asili ya neno.

6.Huhusika na nadharia za uchambuzi wa maana.

                          MAANA

Nini maana ya maana ?

Hakuna fasili kamili ya neno maana wala Maanisha.Watu wa mwanzo 1923 wanadai kuwa maana ya Maana ni tete.Hivyo kuna mitazamo mbalimbali ambayo imeelezewa na watalaamu mbalimbali kuelezea maana ya Maana.

 MITAZAMO INAYOELEZEA MAANA YA MAANA

1.MAANA KAMA KITAJWA.

 Hulejelea umbo fulani la kiisimu.Na mtazamo huu umeasisiwa na Fodor 1980 Pamoja na Akmojian na Wenzake 2010. Ambapo wanasema umbo lolote kama linamaana lina maana lazima liwe na kirejelewa.Majina/Nomino ndiyo huwa na umbo.

                     UBORA

1.Kuna ukweli katika lugha kuna maneno yanapata maana kwa kurejelea umbo.

2.Watoto hujifunza lugha kwa kuonyeshwa vitu.

 UDHAIFU

1.Kunamaneno yasiyotaja vitu halisi.Mfano hapana

2.Maumbo tofauti tofauti huweza kurejelea kitu kimoja lakini  yanakuwa na maana tofauti.Mfano Fedha,Pesa na hela.

3.Majina ya dhahania yanakosa maana.Mfano njaa, upepo n.k


        Ili kupata pdf fungua link hapo
      chini then subscribe then andika
    email yako kwenye video ya kwanza
    sehemu ya comment baada ya hapo
       utapokea pdf kwa njia ya email.

SUB'SCRIBE HAPA NA ANDIKA EMAIL YAKO                    ILI UPATE PDF

                         DOWNLOAD

JAMANI FUATA MAELEKEZO YOTE UPATE 

                   PDF KWA URAHISI







Next Post Previous Post
5 Comments
  • Anonymous
    Anonymous February 7, 2023 at 10:54 AM

    Kuyavawiliam@email.com

    • Dyampaye
      Dyampaye February 7, 2023 at 11:19 AM

      Tayari Tembelea DRIVE YAKO UTAZIKUTA

  • Leonard
    Leonard February 7, 2023 at 11:04 AM

    Unyamaaa

  • Anonymous
    Anonymous February 9, 2023 at 11:01 PM

    Hizo slide kwa upande wangu zipo vizuri ingawa zimeandikwa kwa kifupi sanaa

    • Dyampaye
      Dyampaye February 10, 2023 at 1:52 AM

      Ufupi huo ni Kwa mujibu wa mwalimilu alvyofundisha

Add Comment
comment url