SEMANTIKI NA PRAGMATIKI
HAND OUT
SEMANTIKI NA PRAGMATIKI.
Semantiki;ni tawi linalojishighulisha na uchunguzi wa maana katika lugha ya mwanadamu.Huanza kuchunguza katika kiwango cha sauti,Mofimu,Neno hadi tungo.
MALENGO YA SEMANTIKI
1.Hushughulika na mpangilio wa sauti unaoleta maana katika neno.
2.Hushughulika na uainishaji wa maana za maneno.
3.Hushughulika na maana za tungo.
4.Hushughulika na taratibu zote za kuchambua maana.
5.Hushughulika na asili ya neno.
6.Huhusika na nadharia za uchambuzi wa maana.
MAANA
Nini maana ya maana ?
Hakuna fasili kamili ya neno maana wala Maanisha.Watu wa mwanzo 1923 wanadai kuwa maana ya Maana ni tete.Hivyo kuna mitazamo mbalimbali ambayo imeelezewa na watalaamu mbalimbali kuelezea maana ya Maana.
MITAZAMO INAYOELEZEA MAANA YA MAANA
1.MAANA KAMA KITAJWA.
Hulejelea umbo fulani la kiisimu.Na mtazamo huu umeasisiwa na Fodor 1980 Pamoja na Akmojian na Wenzake 2010. Ambapo wanasema umbo lolote kama linamaana lina maana lazima liwe na kirejelewa.Majina/Nomino ndiyo huwa na umbo.
UBORA
1.Kuna ukweli katika lugha kuna maneno yanapata maana kwa kurejelea umbo.
2.Watoto hujifunza lugha kwa kuonyeshwa vitu.
UDHAIFU
1.Kunamaneno yasiyotaja vitu halisi.Mfano hapana
2.Maumbo tofauti tofauti huweza kurejelea kitu kimoja lakini yanakuwa na maana tofauti.Mfano Fedha,Pesa na hela.
3.Majina ya dhahania yanakosa maana.Mfano njaa, upepo n.k
Kuyavawiliam@email.com
Tayari Tembelea DRIVE YAKO UTAZIKUTA
Unyamaaa
Hizo slide kwa upande wangu zipo vizuri ingawa zimeandikwa kwa kifupi sanaa
Ufupi huo ni Kwa mujibu wa mwalimilu alvyofundisha